We love to see you at our store. Ndio tunapiga picha some dresses. Will post them as soon tukimaliza.
Mfano wa nguo zilizofika ni za aina zote, za kubana shepu, zenye vimikono, zenye lace kwa juu, cinderellas, etc etc...Kama
Kanansia
Rhoby Mwita 
Hellen 
Patricia
Stella 
Consolata Mtana
Latifa 
Irene 
Ritha 
Kana send off 
Gesla
Kanansia 
Asikwambie mtu...kwa nguo za harusi tunaongoza kwa ubora wa kimataifa na style za kisasa zaidi. Kila NGUO unayoifikiria utaipata
Usikose kupitia Wedding Bells this week.
We love YOU!







.jpg)






